Declaration on Lowassa

Declaration on Lowassa

Truth will Remain

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
254
Reaction score
126
DECLARATION.

Naitwa MTANZANIA MZAWA
Naishi: TANGANYIKA
Elimu: MGANGA NJAA
Umri: MIAKA 54
Kabila: NYERERE ALIKATAZA

NATHIBITISHA NA KUKIRI MBELE YA HADHARA HII KUWA Namfaham Mhe. Lowassa Ngoyai Edward Tangu akiwa waziri wa Ardhi enzi za Utawala wa Mzee Ruksa, wakati wa sekeseke la kiwanja cha mnazi mmoja, NASHUKURU NILIPATA NONDO TANO BAADA YA WALE WAHINDI KUTIMULIWA KUJENGA PALE,

Nikamfahamu tena Wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa, alipoufutilia mbali Mkataba Fisadi wa City Water pamoja na Kuanzisha Mradi mkubwa wa Maji kutoka ziwa Victoria.

Nikaendelea kumfahamu tena wakati akiwa waziri Mkuu, pale alipomtimua Mwandisi wa Wilaya ya Ilala mara Ghorofa lilipobomoka pale Maeneo ya Veta na kuuwa mtu mmoja,

Nikaendelea kumfahamu pale alipoanzisha Mradi wa Shule za Kata, ndio wengi waliumia kwani walichukuliwa kuku, ng'ombe na mazao ili kufanikisha project hiyo, but ilikuwa kwa nia nzuri tu ya kuhakikisha kuwa watoto wanakwenda shule.

Nikamfahamu tena Pale alipodondoshewa Jumba Bovu eti ameleta Mtambo feki wa Umeme (Richmond)

Nimafahamu zaidi siku anaamua kujiudhulu nafasi yake ya Uwaziri Mkuu, kwakweli nilitamani kulia siku hiyo.

Nikajipendekeza siku ya 01/01/2013 ili japo nifike nyumbani kwake na kupiga naye picha kwani nilimafanisha na Mtume aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya kutukomboa Watanzania. NASHUKURU MUNGU MAOMBI YANGU YALIFANIKIWA.
na ninahisi nilikutana na MTUME ANA NABII ALIYETUMWA KUJA KUTUKOMBOA WATANZANIA.

naendelea kukiri na kuthibitisha kuwa haya ni baadhi ya mazuri sana ninayoyafahamu, mimi mwenyewe na sijatumwa ama kuagizwa na yeyete ili kuyaleta humu, sijahongwa ama kulipwa ujira wowote kwa ajili ya Jambo hili

eeh Mwenyezi Mungu naomba unisaidie
 
umetoka facebook, umeleta ngojera zako huku tena na zilezile.. agrrr!

Uko sahihi! Ni rais wetu huyo, sent by God. He is very visionary ukitaka waulize wana Monduli.
 
Acheni njaa izo vijana,jitambueni vijana wa Tz.Ni kitabu kipi ambacho kimeandikwa unabii unaweza kumuangukia jambazi wa mali za masikini.Tunataka hawaeleze watanzania kuwa mali na fedha anzomiliki amevitoa wapi wakati yeye ni mwanasiasa na wala hakuna historia yoyote ya kufanya biashara katika familia yao?.Uyu mtu Mwl.Nyerere alishamkataa na ndiyo maana aliposhika madaraka ya juu katika nchi alidondoka kwa aibu kubwa na bado anautaka urais,hapa atapata pigo kuu,najua mashabiki wake mtapinga lakini kwa jinsi nilivyomuona Nyerere na vision zake ,he was a prophet and not merely a politician as many eyes of us so in him.Alimkataa JK na Lowassa,lakini leo mmoja wapo amepewa urais na taifa linazidi kuparaganyika kwa misingi ya udini.Lowassa ameonekana Tabora akiaidi kuwa atarejesha utawala wa kichifu pindi akipewa urais,hatua ambayo ni kukaribisha ukabila ndani ya nchi.Kama watanzania tunataka kiongozi wa kweli na uwezo kusimamia misingi ya amani ya taifa letu ukiondoa ushabiki wa kipuuzi,kuna watu wawili tu ambao wanaweza kuirejesha nchi yetu kwenye taswira yake ya awali;CCM (Dr.Salim Ahmed Salim) na CDM (Dr.Wilbrod Slaa),Prof.Lipumba hatufai na tumuogope kama ukoma kwa sababu ameisha jionesha kuwa yeye ni hadui wa amani yetu kwa kukumbatia udini.I KNOW THIS IS A BITTER TRUTH TO LOWASSA SUPPORTERS BUT YOU HAVE NO OPTION TO ESCAPE THE BITTER TRUTH,JUST SWALLOW IT.
 
Am with EL all the way and am sure ana million man march
 
Sina interest na siasa, but ninauwezo wa kumjua kiongozi na mbabaishaji. tukiacha na kukashifiana kwa itikadi za kivyama kunakotufanya tuwe vipofu wakujifanya ili tusione uwezo wa mtu, NINAUHAKIKA EDWARD LOWASA MB WA MONDULI, ANAUWEZO MKUBWA WA KUKILETEA MASLAHI KITI CHA URAISI TANZANIA, NA JOHN POMBE MAGUFURI ANAUWEZO WAKUWA WAZIRI MKUU.Hii sio porojo ni facts, coz hawa ni watendaji na hawapendi mapichapicha. ukipenda kataaa ila moyoni usutwe na ukweli huo ambao nawe unaujua.naunga mkono hoja.
 
long forum peleken jukwaa la siasa mkakutane na uvccm na bavicha siyo huku kwa learned siye propaganda hatuwezi
 
Back
Top Bottom