Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
DECLARATION.
Naitwa MTANZANIA MZAWA
Naishi: TANGANYIKA
Elimu: MGANGA NJAA
Umri: MIAKA 54
Kabila: NYERERE ALIKATAZA
NATHIBITISHA NA KUKIRI MBELE YA HADHARA HII KUWA Namfaham Mhe. Lowassa Ngoyai Edward Tangu akiwa waziri wa Ardhi enzi za Utawala wa Mzee Ruksa, wakati wa sekeseke la kiwanja cha mnazi mmoja, NASHUKURU NILIPATA NONDO TANO BAADA YA WALE WAHINDI KUTIMULIWA KUJENGA PALE,
Nikamfahamu tena Wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa, alipoufutilia mbali Mkataba Fisadi wa City Water pamoja na Kuanzisha Mradi mkubwa wa Maji kutoka ziwa Victoria.
Nikaendelea kumfahamu tena wakati akiwa waziri Mkuu, pale alipomtimua Mwandisi wa Wilaya ya Ilala mara Ghorofa lilipobomoka pale Maeneo ya Veta na kuuwa mtu mmoja,
Nikaendelea kumfahamu pale alipoanzisha Mradi wa Shule za Kata, ndio wengi waliumia kwani walichukuliwa kuku, ng'ombe na mazao ili kufanikisha project hiyo, but ilikuwa kwa nia nzuri tu ya kuhakikisha kuwa watoto wanakwenda shule.
Nikamfahamu tena Pale alipodondoshewa Jumba Bovu eti ameleta Mtambo feki wa Umeme (Richmond)
Nimafahamu zaidi siku anaamua kujiudhulu nafasi yake ya Uwaziri Mkuu, kwakweli nilitamani kulia siku hiyo.
Nikajipendekeza siku ya 01/01/2013 ili japo nifike nyumbani kwake na kupiga naye picha kwani nilimafanisha na Mtume aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya kutukomboa Watanzania. NASHUKURU MUNGU MAOMBI YANGU YALIFANIKIWA.
na ninahisi nilikutana na MTUME ANA NABII ALIYETUMWA KUJA KUTUKOMBOA WATANZANIA.
naendelea kukiri na kuthibitisha kuwa haya ni baadhi ya mazuri sana ninayoyafahamu, mimi mwenyewe na sijatumwa ama kuagizwa na yeyete ili kuyaleta humu, sijahongwa ama kulipwa ujira wowote kwa ajili ya Jambo hili
eeh Mwenyezi Mungu naomba unisaidie