MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Nimekuwa nikishuhudia mashirika/idara za usalama za nchi nyingine particulary US and UK zikitoa baadhi ya classified intelligence documents baada ya kipindi fulani. Mfano mzuri ni documents za Area 51, ambazo zimekuwa desclassified mwaka 2013.
Najua Tanzania Intelligence Community[TISS, CMI etc] wamefanya mambo mengi sana kwa Tanzania na Africa kwa ujumla kuanzia mapambano dhidi ya ukoloni, vita ya Mozambique, vita nyingi za maziwa makuu[Uganda, Congo etc].
Je kuna utaratibu wowote wa ku-declassify hizi information au ndio zinabaki story tu za kusadikika time after time?Moshe Dayan,
Moshe Dayan,Phillemon Mikael
Wazungu na wamarekani siyo wajinga! Wametoa taarifq chache sana. Hawawezi kutoa taarifa zao zote za siri. Mfano hapo area 51 inasemekana walifanyia simulation ya kutua mwezini; je umeona mitambo walau picha za vifaa vilivotumika? Wanatpumbaza ilj tuone wao wanademokrasia ili na sisi tutoe zetu waanze kutubeza!
That is where my question is....
Hata hizo chache tumewahi kutoa? Au kila kitu kuhusu idara zetu za usalama ni siri milele?
Wakati mwingine, uwazi kidogo tu unaweza kubadilisha hata mitizamo kuhusu vyombo vyetu vya usalama. Jeshi letu lina heshima kubwa sana mbele ya wananchi (Kwa maoni yangu), ni shughuli zake kuonekana mbele ya wananchi mf Vita ya Kagera.
Tunajua idara yetu ya usalama wa taifa inafanya kazi sana lakini ni lini kumekuwa hata na info kidogo from reliable source about it past works, sometimes watu wanaishia kuwa na bad impressions kwa sababu ya hadithi za vijiweni na story za kung'olewa kucha lakini the real work that they do to secure our country goes unnoticed kabisa.