Ni kama moderm kunakuwa na sehemu ya kuweka line ya simu ambayo itakusaidia unejiunga bando Kuna waya ambao unaconnect kutoka kwenye hicho kifaa kwenda kwenye TV then mnara utasoma unaconnect kwa hiyo unakuwa na uwezo wa kutumia app za kwenye TV yako kama vile Facebook, you tube, Netflix n.k kwa kutumia bando ha kwenye line uliyoweka ila cha kuzingatia ni lazima TV iwe smart TV. Lakini pia unaweza kutumia kwenye kompyuta au desktop sio lazima TV