Kwanini huwa hawaonyeshi michuano ya europa?King'amuzi cha Canal Plus kinakuwezesha kuangalia News, Movies na Sports kwa Bei nafuu sana kulinganisha na ving'amuzi vingine. Kwa wapenzi wa Soccer (Football) ukiwa na King'amuzi hiki utaweza kuangalia michuano ya Ligi ya Uingereza (EPL), UEFA, SERIE A, BUNDESLIGA, LIGUE 1 na CAF CL kwa kifurushi cha 48k tu!
Jipatie sasa Decorder ya CANAL PLUS kwa 100k tu upate raha Duniani[emoji39]
Mawasiliano: 0629439450
NB: huu ndo muda sahihi wa kununua king'amuzi hiki maana baada ya msimu wa Ligi mbalimbali kufunguliwa King'amuzi hiki huadimika.View attachment 3028727View attachment 3028728
Mimi nakitumia kiko fresh sana!!!Kuna kifurushi wanachoonesha hiyo michuano, cha 35k.
Laki moja Decorder tu ikiwa na vifaa vyake (remote, HDMI, battery n.k) kufungiwa utatumia mafundi wa DishLaki moja pamoja na kufungiwa plus usafiri?
Hebu tuambie kukiwa na game mfano nane za epl kwa mda mmoja hua mnatizama zote au ndio wanakata wanaweka hii mara wanahamia kuleMimi nakitumia kiko fresh sana!!!
Wana chanels kama 4 hivi zote ni za mpira, ni wewe kuchagua unataka kuangalia mechi ipi, kama zina chezwa muda mmoja.Hebu tuambie kukiwa na game mfano nane za epl kwa mda mmoja hua mnatizama zote au ndio wanakata wanaweka hii mara wanahamia kule
Hujajibu swali langu vizur, chanel nne sawa na game 4 je zikiwa game nane mfano ile siku ya kufungwa kwa ligi ,mlipata wasaa wa kutizama game zote ?Wana chanels kama 4 hivi zote ni za mpira, ni wewe kuchagua unataka kuangalia mechi ipi, kama zina chezwa muda mmoja.
Ni FTA au ni monthly subscriptionFrench kwa Channels za Sports ila kwa Movies na News ni French na English.
Menu ya king'amuzi chenyewe ni French na English so unachagua lugha upendayo.
Ni FTA au ni monthly subscription
Monthly Subscription.Ni FTA au ni monthly subscription
Ok sasa tcra wakikukuta siyo mzozoSio FTA, hao ni kama DStV tu, isipokuwa hawana kibali kurusha ndani ya mipaka ya Tanzania kwa sababu ya uwepo wa DSTV...
Monthly Subscription.