Decorder ya Canal Plus

Decorder ya Canal Plus

Hujajibu swali langu vizur, chanel nne sawa na game 4 je zikiwa game nane mfano ile siku ya kufungwa kwa ligi ,mlipata wasaa wa kutizama game zote ?
Mimi mechi nane zote nazifuatiliaje kwa wakati mmoja? Cwezi kujibu hilo swali kwani cjui na sina haja ya kufuatilia hilo, hata dstv cjui kama huwa hilo wanafanya, wewe unataka kuleta ya azam tv na huku?!! Hapa hata chaneli za habari, sinema zetu, walionyesha mechi!!
 
Nimekuuliza nikiwa na mantiki kubwa , sasa niconclude canal ni nzuri kwa bei zake ila na huduma watoayo ila hawajajipanga ,ikitokea kuna game nyingi za ligi nyingi kwa wakati mmoja mfano , arsenal na liver, madrid na baka ,huko dot na germany kwa mfano na game zingine uchuro waufanyao ni kurusha game kwa vipande vipande
 
Wana channels 5 za michezo (canal sports 1,2,3,4,5&6) kama kukiwa na games kubwa tupu basi channel 4 zitaonesha game kubwa zote na moja itatumika kutoa updates za matukio yote ya mechi zilizosalia.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Imebaki Decorder moja tu kabla sijaagiza mzigo mwingine!
20240710_071533.jpg
 
Wakati Msimu wa Ligi mbalimbali Duniani ukirejea, Tumekusogezea karibu Dekoda ya Canal Plus ili usipitwe na matukio mbalimbali ya kimichezo. Kwa 100k tu unajipatia dekoda na kifurushi cha mwezi ni 48k tu!
0629439450
20240724_201019.jpg
 
Kama una mpango wa kununua king'amuzi cha Canal Plus nakushauri ununue muda huu. Baada ya Ligi ya EPL na UEFA kuanza utahangaika kukipata.
Dekoda nakuachia kwa 100k tu
Kifurushi 48k
0629439450
 
Back
Top Bottom