Msiba rasmi kwa DSTV. Mwanetu mbona hukututonya mapema huu mchongo. Kuna uwezekano wa ku-upgrage kifurushi au ni vipi?Kuna ongezeko la channel za SUPERSPORT kwenye dekoda ya CANAL, ongezeko hilo linafanya channels za SuperSport kufika 4, ambazo ni;
SuperSport Football Plus, CH116
SuperSport Football, CH117
SuperSport EPL, CH118
SuperSport La Liga, CH119
Hivyo baada ya ongezeko hilo, kuna baadhi ya mechi za UEFA hazitarushwa kwenye CANAL, zitarushwa kwenye SuperSport kwani channel za CANAL hazitatosha sababu zitakuwa zinachezwa nyingi kwa wakati mmoja
Kifurushi cha kuona channels zote za SuperSport na CANAL kwa sasa ni 55,000 tu, hivyo mteja unashauriwa kununua kifurushi hiki kwa sasa ili kuepuka kukosa baadhi ya mechi za UEFA
Channel hizo za SuperSport pia zitakuwa zikirusha;
UEFA Champions League
UEFA EUROPA League,
UEFA Conference League,
CARABAO Cup,
FA Cup nk
Call/WhatsApp: 0756232301View attachment 3097753
Halafu baadaye DSTHIEVES wakileta shida au kufungiwa mnaanza kulialia, nyinyi ndio mlifanya, IRIB, ARQ, SPORTS24 zitokomee gizani. Mambo ya FTA mpaka jamii forum, loh. Hapo ndipo wanaijeria wametuzidi akili wanakula kimyakimyaKing'amuzi cha Canal Plus kinakuwezesha kuangalia News, Movies na Sports kwa Bei nafuu sana kulinganisha na ving'amuzi vingine. Kwa wapenzi wa Soccer (Football) ukiwa na King'amuzi hiki utaweza kuangalia michuano ya Ligi ya Uingereza (EPL), UEFA, SERIE A, BUNDESLIGA, LIGUE 1 na CAF CL kwa kifurushi cha 48k tu!
Jipatie sasa Decorder ya CANAL PLUS kwa 100k tu upate raha Duniani[emoji39]
Mawasiliano: 0629439450
NB: huu ndo muda sahihi wa kununua king'amuzi hiki maana baada ya msimu wa Ligi mbalimbali kufunguliwa King'amuzi hiki huadimika.View attachment 3028727View attachment 3028728
Inapatikana vipi?Sasa hivi ni mwendo wa IPTV. Channel zipi zaidi ya elfu 20 na hizo za cannal zimo humo ..