saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Hiii ni fedheha kubwa sana kwa Msukuma kupenda kusingizia watu na kuwafanyia fitna kwa watawala.
Hiii ni fedheha kubwa sana kwa Msukuma kupenda kusingizia watu na kuwafanyia fitna kwa watawala.