DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

Ndo yule wa V8, Kama ndo huyo UmePotoka ni kweli alisimamishwa Na mwendazake, baada ya Muda Mfupi mwendazake alimrudisha na kumuambia amemsamehe, hangaya kambadilisha kituo tu
Uko sahihi, mkuu. Kuna watu wana kumbukumbu afadhali hata ya panzi. Wao ilimradi wameropokwa tu, hawaangalii ukweli
 
Msukuma ndiye aliyemzulia fitna Magufuli akamtumbua wakati alikuwa kiongozi mzuri wewe ndio umuulize Msukuma kwanini alimpiga fitna huyo kiongozi leo Ilemela inafanya vizuri chini ya Ukurugenzi wake baada ya kurejeshwa na Rais Samia
Uzuri wake ulikuwa ni upi?
Na nini anafanya Ilemela?
Unawezq ukawa ni Msukuma part 2 ila ukiwa upande wa kumsafisha na msukuma part 1 alikuwa wa kumchafua.

Njoo na hoja za maana, alizushiwa nini na uchapakazi wake mzuri ni upi? Otherwise ni CHAWA wake au ndiye DED mwenyewe utakayetumika kwenye sanduku la maamuzi hapo baadae.

Acheni ujinga wa kushangilia , huku rasilimali za nchi zikitumika vibaya, halafu tunasifu fulani katujengea choo wakati hela ni kodi zetu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom