DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Hiii ni fedheha kubwa sana kwa Msukuma kupenda kusingizia watu na kuwafanyia fitna kwa watawala.

 
OK

Ni Faida gani umepata usingemtaja Msukuma

Ni hasara gani ungepata kwa kukaa kimya

Baada ya kumtaja taja Msukuma, Je kuna Maendeleo yeyote umeyapata
... jamii imejifunza kitu.
 
OK

Ni Faida gani umepata usingemtaja Msukuma

Ni hasara gani ungepata kwa kukaa kimya

Baada ya kumtaja taja Msukuma, Je kuna Maendeleo yeyote umeyapata
Msukuma ndiye aliyemzulia fitna Magufuli akamtumbua wakati alikuwa kiongozi mzuri wewe ndio umuulize Msukuma kwanini alimpiga fitna huyo kiongozi leo Ilemela inafanya vizuri chini ya Ukurugenzi wake baada ya kurejeshwa na Rais Samia
 
Hawa ma DED wa sasa nimegundua asilimia kubwa ni wavulana na wasichana, hivyo wameanza mchezo wa kutafuta chawa wao ili wawasifie kwenye mitandao ya kijamii na magazetini.
Kazi zake DED Eng. Modest Apolinary zinajionyesha zenyewe hazihitaji machawa kama wa Msukuma na walamba asali wenzake
 
Hawa ma DED wa sasa nimegundua asilimia kubwa ni wavulana na wasichana, hivyo wameanza mchezo wa kutafuta chawa wao ili wawasifie kwenye mitandao ya kijamii na magazetini.
Ni wapiga dili tupu hawana lolote
 
Hana lolote ni tapeli tupu
 
Upigaji wake na hatimaye akatumbuliwa vinahusianaje na utendaji wake wa sasa? Kwamba mtu hawezi kuwa mtendaji na mpigaji at the same time?

Nenda kai-format haraka sana hiyo akili because most likely imekongoroka.
 
Ndo yule wa V8, Kama ndo huyo UmePotoka ni kweli alisimamishwa Na mwendazake, baada ya Muda Mfupi mwendazake alimrudisha na kumuambia amemsamehe, hangaya kambadilisha kituo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…