Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako utakuta maduka yako wazi bila leseni Na ufanye hivyo bila kutoa taarifa.
Ukitoa taarifa watawapigia simu. Jana nikiwa bar moja iitwayo Pema Pub Kata ya Mkundi kandokando ya barabara ya Morogoro - Dodoma tukisubiri msafara upite tukielekea Dodoma tulisikia mazungumzo ya afisa biashara wakiamuru bar hiyo ifungwe na wakaweka kufuri zao kwa maelezo kuwa leseni ya bar hiyo imeisha yangu Septemba.
Baada ya kupigiwa mmiliki wa bar hiyo dakika chake alirudi na afisa aliyekuwa anafunga akiwa kwenye gari yake na kufungua tena bar hiyo. Vyombo vya usalama, Takukuru na polisi kama tumeshafanikiwa kupambana na kufuta upinzani turudi kwenye kazi zetu sasa za kupambana na wala rushwa.