TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1613434326704.png

Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
 
Hawa walihakikisha diwan na mbunge ni mataga kwa kuchaguliwa au kulazimisha.
Hizi mindset zenu za kufurahia vifo vya walio kinyume na ideology zenu, nanyi aisee!
Huko siasani mnafundishana upuuzi kwamba kifo sio haki au kifo ni adhabu tena yamstahili mpinzani wako wa mawazo, upuuzi kiwango Cha juu Sana kudhani kifo ni adhabu kwa usiempenda.
Kwahiyo wakifa wa chama chenu mnaojipa utakatifu kutafuta huruma kwenye maslahi yenu ya kisiasa, nao chaitwaje kifo chao?
Kifo Cha mtu mwingine sio faraja kwako kwakuwa nawe lazima ufe wakati ukifika. Pambaneni kwa hoja zenu za kisiasa na si kuhusianisha kifo na tofauti zenu za kisiasa ilhali kila mja yampasa kifo.

Roho ya mwendazake ipumzike kwa amani.
 
Tukiongea tunawekwa ndani, tunapotea na kuuwawa. Uchaguzi haikua wa haki na hii ni sehemu ya kutoa hisia zetu.
 
Kuna mfadhili wa chadema alikufa juzi Kati nae aliwanyima haki ndipo akafa?
Kuna siku hamuongei humu jukwaani au maongezi gani ndiyo yahusianishwa na vifo vya walio kinyume na mawazo yenu?
Shindaneni kwa hoja, mnapofurahia vifo kana kwamba mnayo kinga dhidi ya kifo Ni kuonyesha wazi upeo wenu. Kila nafsi itaonja mauti, Basi mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani si nyingi nazo zahesabika .......
 
Back
Top Bottom