A
Anonymous
Guest
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga aliwapa kazi walimu kuandikisha kaya na wanakaya katika makazi bila malipo yoyote kwa visingizio kuwa mikataba yao ya ajira inasema watafanya majukumu yao ya kitaaluma pamoja na majukumu mengine watakayopangiwa na mwajiri.
Kiuhalisia, majukumu hayo yalikuwa ya wenyeviti wa vitongoji/mitaa.
Tunaomba mamlaka husika itoe mwongozo wa utaratibu sahihi ikiwa mtumishi wa umma atapangiwa majukumu na mwajiri nje ya taaluma au nje ya kituo cha kazi