Dedebit (Eth) 2 Young Africans (Tan) 0

Dedebit (Eth) 2 Young Africans (Tan) 0

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
Haya YANGA Tumetolewa Nje na Timu ya Ethiopia 2 - 0

Kweli tutaweza kuwakilisha Nchi bora zaidi ya Watani zetu Simba????
 
Haya YANGA Tumetolewa Nje na Timu ya Ethiopia 2 - 0

Kweli tutaweza kuwakilisha Nchi bora zaidi ya Watani zetu Simba????

Kwani Simba wamekwisha thibitisha ubora wao? Kama kitimu cha wavuvi wa samaki kimewahenyesha unategemea kuna uwakilishi hapo? Suala la muhimu timu za Tanzania ziache soka la magazetini. Misifa kibaao. Uwanjani wote vimeo. Ndo tumezoea kusikia, "angalau sisi tumefika raundi ya pili." Haya bana.
 
Simba wao Wameshafika Hadi Fainali ya Kombe la Africa; Sisi pamoja ya kuwa Club Kongwe na Marais wa Nchi Wawili au Watatu (Nyerere; Mkapa na Kikwete) Lazima tungekuwa bora zaidi ya Simba...
 
Back
Top Bottom