mkuu kweli umeukonga moyo wangu....:A S 13:Aisee age mate, umeniwahi haka kakitu.
Nami naungana nawe kwenye hako kadedikesheni.
Hii dunia bila hawa viumbe, si sehemu tamu ya kuishi.
Nikimwangalia my dear mama, anavyonionea huruma navyokuwa katika matatizo, my dear wife anavyonidekeza pamoja na ubaradhuli na ulevi wangu, vibinti vyangu vinavyonisifia japo siujui wema naowatendea ukilinganisha na mama yao. Mabinti/wamama/wadada wa JF wanavyoniondolea mastress ya mkoloni wangu kwa thread na posts zao zenye akili........ Hawa watu wanawake waacheni waitwe wanawake.
Na hapo sijawataja kina Eliza wanavyonihudumia bia kwa upendo.........
Nawapendeni Wanawake Woooote. Mungu awabariki. Bila Nyie wallahi dunia ingekuwa jehanamu ya pili. Naamini Jehenamu hakuna wanawake....Thats why sitaki kwenda huko!
Damn.......Eliza hebu leta Guiness ya Baridi fasta!
mkuu kweli umeukonga moyo wangu....:A S 13:
When i think of all women around my life kuanzia mama, wifey, dadaz, aunties, office mates, kwenye huduma za jamii nk sioni kama na-deserve kuwa na wote hao... nimeamka namuangalia dada anaandaa watoto waende shule na ile closeness ya watoto na dada i felt very blessed aisee... and guess what, DONT TALK ABOUT MY DAUGHTER
wanawake ni kila kitu kwenye maisha yetu
Aisee age mate, umeniwahi haka kakitu.

tatizo ni sisi wenyewe kuziendeleza hizo threads kwa kuchangia activelyAsanteni kwa kutupenda, onyesheni upendo wenu zaidi kwa kutuma threads za kuwaheshimu wanawake sio za kuwadhalilisha kama ya Jamani nitafutieni wateja hizi ko**** .
mkuu kweli umeukonga moyo wangu....:A S 13:
When i think of all women around my life kuanzia mama, wifey, dadaz, aunties, office mates, kwenye huduma za jamii nk sioni kama na-deserve kuwa na wote hao... nimeamka namuangalia dada anaandaa watoto waende shule na ile closeness ya watoto na dada i felt very blessed aisee... and guess what, DONT TALK ABOUT MY DAUGHTER
wanawake ni kila kitu kwenye maisha yetu
tatizo ni sisi wenyewe kuziendeleza hizo threads kwa kuchangia actively