Dedicated to all women: Without you, we are nothing...

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Leo ni siku ya wamawake duniani...

without many words, you are the heart and lifeline of our lives...

you are our mothers
you are our aunties
you are our sister
you are our lovers

there is no man without a woman
there is no sweet love without a woman
our kids depend on you
our hearts are taken care by you

yet we sometime abuse you
but you dont give up on us
as the world would be different
if for a minute you'd deserted us

be a wife, mother and sister
house-girl, maids or office mate
that soft heart and sweet voice
always remind us the treasure you are

SIKU YA WANAWAKE LEO
BASI NA CHUKUENI HESIMA YA PEKEE
 
Aisee age mate, umeniwahi haka kakitu.

Nami naungana nawe kwenye hako kadedikesheni.

Hii dunia bila hawa viumbe, si sehemu tamu ya kuishi.

Nikimwangalia my dear mama, anavyonionea huruma navyokuwa katika matatizo, my dear wife anavyonidekeza pamoja na ubaradhuli na ulevi wangu, vibinti vyangu vinavyonisifia japo siujui wema naowatendea ukilinganisha na mama yao. Mabinti/wamama/wadada wa JF wanavyoniondolea mastress ya mkoloni wangu kwa thread na posts zao zenye akili........ Hawa watu wanawake waacheni waitwe wanawake.

Na hapo sijawataja kina Eliza wanavyonihudumia bia kwa upendo.........

Nawapendeni Wanawake Woooote. Mungu awabariki. Bila Nyie wallahi dunia ingekuwa jehanamu ya pili. Naamini Jehenamu hakuna wanawake....Thats why sitaki kwenda huko!

Damn.......Eliza hebu leta Guiness ya Baridi fasta!
 
Heshima zangu zote kwa akina mama leo, asante MTM
 
asante sana kwa dedication,am proud to be a woman,and am also proud to have u here,,,,ur part of evrything,,without u,we can not make it!thanx for being part of it,,,love u all.............
 
ASANTENI SANA KWA DEDICATION.
tutazidi kuwapenda zaidi na kuwajali.
 
Kwa akina Mama wooooooooote:

Asanteni kwa kutuleta Duniani
 
I love you all ladies. Bila nyinyi maisha yetu yangekuwa ya taabu sana. Nawatakia wanawake wote siku njema na yenye baraka.
 
Im proud to be a Woman.

Thanks wababa/wakaka wote kwa kutupenda
 
Aisee age mate, umeniwahi haka kakitu.

Nami naungana nawe kwenye hako kadedikesheni.

Hii dunia bila hawa viumbe, si sehemu tamu ya kuishi.

Nikimwangalia my dear mama, anavyonionea huruma navyokuwa katika matatizo, my dear wife anavyonidekeza pamoja na ubaradhuli na ulevi wangu, vibinti vyangu vinavyonisifia japo siujui wema naowatendea ukilinganisha na mama yao. Mabinti/wamama/wadada wa JF wanavyoniondolea mastress ya mkoloni wangu kwa thread na posts zao zenye akili........ Hawa watu wanawake waacheni waitwe wanawake.

Na hapo sijawataja kina Eliza wanavyonihudumia bia kwa upendo.........

Nawapendeni Wanawake Woooote. Mungu awabariki. Bila Nyie wallahi dunia ingekuwa jehanamu ya pili. Naamini Jehenamu hakuna wanawake....Thats why sitaki kwenda huko!

Damn.......Eliza hebu leta Guiness ya Baridi fasta!
mkuu kweli umeukonga moyo wangu....:A S 13:

When i think of all women around my life kuanzia mama, wifey, dadaz, aunties, office mates, kwenye huduma za jamii nk sioni kama na-deserve kuwa na wote hao... nimeamka namuangalia dada anaandaa watoto waende shule na ile closeness ya watoto na dada i felt very blessed aisee... and guess what, DONT TALK ABOUT MY DAUGHTER

wanawake ni kila kitu kwenye maisha yetu
 
Mungu awabariki mtupende kila siku hivyo hivyo kama leo.
 
Mungu akubariki na utupende na kutuheshimu siku zote
 
Asanteni kwa kutupenda na sisi tunawapenda sana!!
 
mkuu kweli umeukonga moyo wangu....:A S 13:

When i think of all women around my life kuanzia mama, wifey, dadaz, aunties, office mates, kwenye huduma za jamii nk sioni kama na-deserve kuwa na wote hao... nimeamka namuangalia dada anaandaa watoto waende shule na ile closeness ya watoto na dada i felt very blessed aisee... and guess what, DONT TALK ABOUT MY DAUGHTER

wanawake ni kila kitu kwenye maisha yetu

Unanifanya damu isisimke kwa furaha! Believe me, If you make women feel good about themselves, they will feel good about you.
 
tatizo ni sisi wenyewe kuziendeleza hizo threads kwa kuchangia actively

Nakubaliana na wewe. Hatutakiwi kuchangia thread kama hizi. Endapo tunahitaji thread za kutufanya tu-relax kidogo na kucheka, ziko zingine nyingi tu, sio lazima za kudhalilisha jinsia. Kwa kuadhimisha siku ya WANAWAKE. Tuweke hili kuwa ni Lengo letu kwa siku zijazo.
 
Heshima zangu kwa akina mama wote, namshukuru mama yangu kwa kunileta duniani i love you mum and all women in this world
 
Nasomaa haya mawazo hapa weee, natafuta maneno ya kusema kuwakilisha navyojisikia kuhusu wamama lakini nakosa. Itoshe tu kusema, nawapenda sana
 
Back
Top Bottom