DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
- Thread starter
-
- #441
Nakutafutia sehemMama ni mwezi wa couples tu shoga,tumebaki mi nawewe
Acha nimwandae kisaikolojia tuNyokooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nahitaji kuielewa kwa kweli, sio kwa kilio kama hicho mtoto mzuri mtoto mbichi kama wewe atiiYani hapo huwezi kuelewa[emoji23]
Shem kwani we ni dalali jamaniNakutafutia sehem
nkuweke
Ndio nini kuvujisha siri zetu hadharan mpenz wanguBabe wake Cepha.
Bby nimeweka picha uliyonipiga wewe mwenyewe wajue tulivyo seriousView attachment 724397
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyokooo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Ukomeeee sasa kusema uko single kumbe umeoa
Azingatie tu usalama wakeUnajua kutembelea fursaa
Ukisoma vizuri hiyo utaelewa,nakuamin ujueNgoja dada nitakutafutia dawa.
Shemeji hivi mbona kama haupo njia kuu?Nakutafutia sehem
nkuweke
Chukulia poa shemaisee imeniuma yan mim wa tanga mwenzie kaniacha ameenda bara sijui. anaua ukoo huyo! hahaha mtoa uzi natania tu ila inauma kwel
hahaaaMadhara ya kudandia nyuz za watu hayo.
Nilisema huu uzi utaondoka na kichwa cha mtu.
Braza kuanzia leo wewe sio ndugu yangu tenaa!wala hkuna ulichokosea mtoto mzuri ...ila tu kwa bahati mbaya ulikutana na JPM wa mapenzi""...njoo kwangu ujihisi kuwa kama mwananchi aliyerejea kuishi nyakati za JAKAYA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni lugha ya picha tu mkuuNahitaji kuielewa kwa kweli, sio kwa kilio kama hicho mtoto mzuri mtoto mbichi kama wewe atii
Nkupe segment na we u act kidogo?Yaani.... Hapa mi naona kama nacheck movie tu, tena zile romantic. Wacha tuendelee kuwa washuhudiaji
Nampenda shemeji yako ujue.Acha nimwandae kisaikolojia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaobembeleza vizur hiv walishakufa kwenye vita ya pili ya dunia,shoga we imekuaje upo???nakuja unipe kitchen part
inaonekana. una kipaji cha kuvumilia maumivu ...pole sanaOkey baby
bora hata ungesema tuwe binam zako ila kwan tuna nin sisi?Tanga bakieni kuwa kaka zangu tuu. Siwawezi