Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem hajakumaind kweli ?Hakijatokea , duuuh umenifanya nicheke kwa sauti uck huu
hakuna hiyo, yule jamaa mstarabu sanaShem hajakumaind kweli ?
Yeahhakuna hiyo, yule jamaa mstarabu sana
kumbuka msg yangu ya kwanza tu but alikuwa very cool and understandable.
Wengine hiyo mitusi ningeenda chemba kupumua kwanza.
hahahahah naamin siku yako inaenda vizuri kaka
Kwa neema za Mungu tutavuka.Yeah
namshukuru Mungu japo siku haijaisha dada angu.
tuombe uzima
AminaaKwa neema za Mungu tutavuka.
thanks