Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

hakuna hiyo, yule jamaa mstarabu sana
kumbuka msg yangu ya kwanza tu but alikuwa very cool and understandable.
Wengine hiyo mitusi ningeenda chemba kupumua kwanza.

hahahahah naamin siku yako inaenda vizuri kaka
Yeah
namshukuru Mungu japo siku haijaisha dada angu.

tuombe uzima
 
Back
Top Bottom