[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepambana na puchumbona Kimya "" ndio mmeenda kukulwa ..nakulana""?? kwahiyo mmetutia genye hapaa weee ..kisha sisi tusio nawenza mmetaucha wapweke.....
pumbafu thana aiseee"""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka akee mziguaNikweli kabisa , unajua nn baby ,sometime faith and belief kwa kiswahili yanaonekana yana maana moja ,ila to me my belief in love has become so stronger kwa uwepo wako tu maishan mwangu. And my Faith in Angels imezidi kua so true tangu siku nmekuona.yaan kabisa umenifanya niamini Malaika wapo[emoji1][emoji1]
sasa si uchoyo huo "" kizuri kula na nduguyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepambana na puchu
Inawezekana ila angerudi tuu jamani nimemkumbuka sana aiseehAtakuwa busy na ndoa kungwi wetu wa jf
Acha kumfundisha mwenzio tabia mbofu mbofu shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepambana na puchu
Sikuoni humu aiseePoa Chief....
Nipo kama sipo.Sikuoni humu aisee
Mahaba niueMahabaa tu
NASUBIRIA majibu ujue au hajaondoka aliyekuwa onlinehe he he he
kuna mtu namuona online now, ngoja akitoka ntakujibu
Ha ha haNASUBIRIA majibu ujue au hajaondoka aliyekuwa online
mkuu salamaaaaaaaaaaaa
Hapa tu mkuu usiogope, in my life nimeamua kuchagua positive sideHa ha ha
sasa majibu niyaanike hapa hapa au niyatolee PM??
Ha ha ha haHapa tu mkuu usiogope, in my life nimeamua kuchagua positive side
So whatever utasema mkuu mm nitafurahi tu
Hahahahaaaa
BTW kwani unataka kusema maneno mabaya?
Anataka kuja piemu huyu mutu. Kuwa nae makiniHapa tu mkuu usiogope, in my life nimeamua kuchagua positive side
So whatever utasema mkuu mm nitafurahi tu
Hahahahaaaa
BTW kwani unataka kusema maneno mabaya?
Asante kaka kwa tahadhari though hajasema hivyo bhana. Namtete mimiAnataka kuja piemu huyu mutu. Kuwa nae makini
Nilichosema kimetokea au hakijatokea dada?Asante kaka kwa tahadhari though hajasema hivyo bhana. Namtete mimi
Au akuje mwenyewe aseme
Bilionea Asigwa