Siwezi kipenzi changuNa wewe unashirikiana nao kubomoa nyumba yetu
BwaaahahahahahaaaaaBaby achana nao
hahaaaa waache wapatwe na dege dege la ukubwaniKweli kabisa na kama una mbebez humu kama ana miwivu anaweza kufa ghafla kwa presha
Hahahahaa. Muacheni jamabi shemej yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan nimechekaaa kishenzi
Hii idea alo kupa hakutakii mema
Unaona sasa. Basi tucheat kimya kimya si unaona nishapata mume eeh.Haki ya mungu Ney mwenyewe akiuona huu uzi ata niuaaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naenda kudai bundle langu aiseee[emoji126][emoji126][emoji126]
Acha kujiuza shunie[emoji23]Bora umekuja hearly kakataa kunifsiria jamani nitafsirie basi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu nitafsirie lovely ili na mimi nisibaki nyuma kwenye huu uzi please.
Maneno yanaonesha yana ujumbe mzito sana
Dictionary yangu kaazima demissBora umekuja hearly kakataa kunifsiria jamani nitafsirie basi [emoji3][emoji3]
Hahahahhaaa. Sasa mimi nilikua nyumba ndogo kote kote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halaf Milller ni ndugu yangu kabsaa.
Ila uzuri ana mke mdogo hana shda yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nmekumbushwa kukaza kwa vyuma bila kupenda
Eti unamfungulia mtu uzi afu anakuja kukujibu"hahahaa santeeee sanaaa my kaka mzuuuri but umechelewa nimeshawahiwaaaaa"Kipi hicho
Nimekupa bebe na kila kitu changu.Nipe nipe moyo bas
Pole my dear [emoji23]Dhaaaa unanifanya n cheke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lkn nnayoyaona kwa wakt huu
Kwang nauachia tu ulimwengu
Aiseee
Beb bwanaNaenda kudai bundle langu aiseee[emoji126][emoji126][emoji126]
Mdogo angu umeanza lini kuniita dogohahaa nimefanya nini mimi "" tatizo huna adabu na wakubwa zako dogo
Naweza nkaZimiaEti unamfungulia mtu uzi afu anakuja kukujibu"hahahaa santeeee sanaaa my kaka mzuuuri but umechelewa nimeshawahiwaaaaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha
Akomeee kihere here kimemponza
Weka mkazo hapo uliposema kila kitu chakoNimekupa bebe na kila kitu changu.
hahaaaMdogo angu umeanza lini kuniita dogo