Dedication aka Dedix

Dedication aka Dedix

blessed chiqqah

Senior Member
Joined
May 19, 2024
Posts
105
Reaction score
291
Habri za maulid wana Jf,

Hivi ushawahi kupewa dedication ya wimbo flani na mpenzi wako au mtu wa karibu sana na ikatokea huo wimbo ukaupenda mno

Nini hutokea ukiskiliza wimbo huo ukiwa ushaaachana na yule mtu? unaendelea kuupenda? unauchukia au inakua kawaida tu?

Binafsi leo nimeisikia “you sang to me ya mark anthony” nimejikuta naumia 😂😂ilikua dedication nilipewa na Ex wangu mbwa yule.

Aliyeko karibu na G yoyote ampige kofi kwa niaba yangu
 
massari ule wimbo alitunga akiwa ametoka kupewa yote 😂😂😂😂😂😂

nyie nyie ukipita unajiona queen ndo wewe na bado mkaachana ukute
Walimpa bila chenchi 🤣🤣🤣

Tuliachana mahi kwa ugomvi mkubwa wa funga mtaa 😹😹
 
Back
Top Bottom