Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Habari wanaChit Chat,
Nimeona ni vema tukatoa dedication songs kwa Maxence na WanaJF woote katika kipindi hiki kigumu.
Mimi nadedicate wimbo wa kitabuni namba 180 Bwana U Sehemu Yangu
Umuendee Mkuu Maxence, Menejimenti yoote ya Jamii Media na WanaJamiiForums wote.
Karibuni nanyi na dedication zenu......