Mkuu pa1 sanaa good advice ever be blessed
Yeah inawezekana, wapo walioachwa wakapendwa tenaThanks Ila mkuu kuna kupenda tena kwel?
Ndio lakini ni wakti wako wa kusahau yaliyopita na kusonga mbele, unaweza kupenda na kupendwa tena mkuuNishatendwaa jaman...
basi tuliza moyo wako na akili yako kwa sasa hivi mpaka hapo utakaporidhia mwenyeweAm total broken mkuu
poa sanaThanks mkuuu
Hasa pale ye ananenepa we unakonda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu...