Dedication

Dedication

Chizika Mwanewane.....sisi tuliopitia KUACHWA, tunajua unapitia kipindi gani....!!

Kuachwa hakujawahi kumuacha mtu salama..!

Aaah... mkuu nahisi kama nina homa aise..... Apa
 
Usiseme hvo ukisha move on ndo utaona kuna zaidi yake huko kwingine

Thanks mkuu Kwa ushauri Apa inahitaj kupiga moyo konde [emoji1374] Ila nilimpenda
 
Back
Top Bottom