Yaani unamaanisha ukienda kuisajili deedpoll pale ardhi unaipata ndani ya siku moja?Deed poll siku moja
Birth certificate siku 3
Ndio.Yaani unamaanisha ukienda kuisajili deedpoll pale ardhi unaipata ndani ya siku moja?
Malipo nikiasi ganNdio.
Nilishawah Fanya hivyo 2021
Ofisi za ardh mkoa wa Mbeya
Nikipeleka kiapo Cha mahakaman kikakataliwa nikaelekezwa nifike kwa mawakili
Nikaenda kwa mawakili muda huo huo Kisha nikarud ardhi nikakaa kama saa moja nikapewa control namba nikalipa then baada ya kama muda kidogo nikakamilisha usajili na kukabidhiwa.
33,000Malipo nikiasi gan
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro ukiwa Moshi mjini cheti cha kuzaliwa unapata ndani ya saa 2 au 3 top.Wasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Nitashkuru kwa majibu yenu
Naomba unisaidie nataka Deep poll naenda wap? Chet changu Cha kuzaliwa kipo na majina mawili while NIDA IPO na majina matatu.....nataka hiyo deep poll..Deed poll siku moja
Birth certificate siku 3
Nenda kwa wakili atakutengezea deed poll then ipeleke wizara ya ardhi kwa ajili ya usajili hapo inakuwa tyr umemalizaNaomba unisaidie nataka Deep poll naenda wap? Chet changu Cha kuzaliwa kipo na majina mawili while NIDA IPO na majina matatu.....nataka hiyo deep poll..
siku nne tuu boss nakupa kazi yako 0629504117Wasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Nitashkuru kwa majibu yenu
tuwasiliane boss nikutengenezee 0629504117Naomba unisaidie nataka Deep poll naenda wap? Chet changu Cha kuzaliwa kipo na majina mawili while NIDA IPO na majina matatu.....nataka hiyo deep poll..