Ndugu zangu,niliumwaga ugonjwa wa DVT miaka kama 3 iliyopita.
Nilitibiwa KCMC nikapona kwa maana kipimo kinaonyesha INR ipo vizuri+blood picture.
Sasa shida nikwamba toka nigundulike na kupata tiba mguu wangu bado unajaa na nahisi burning sensation,na nikipanda gari au nkitembea tembea tu mguu utajaa sana na kuuma kama vile nimekanyaga kaa la moto.
Na mguu unaosumbua ni mmoja tu,ambao ulikuwa unajaa tokea nikiwa naumwa DVT na mwangine upo poa haujawahi kusumbua
Naombeni ushauri niende hospitali gani au kwa dokta gani au nikapime nini cha zaidi?
Au ni effect ya DVT nliyopataga?na inaweza ikaisha baada ya muda gani?