Deep Vein Thrombosiss-DVT

Deep Vein Thrombosiss-DVT

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Ndugu zangu,niliumwaga ugonjwa wa DVT miaka kama 3 iliyopita.

Nilitibiwa KCMC nikapona kwa maana kipimo kinaonyesha INR ipo vizuri+blood picture.

Sasa shida nikwamba toka nigundulike na kupata tiba mguu wangu bado unajaa na nahisi burning sensation,na nikipanda gari au nkitembea tembea tu mguu utajaa sana na kuuma kama vile nimekanyaga kaa la moto.

Na mguu unaosumbua ni mmoja tu,ambao ulikuwa unajaa tokea nikiwa naumwa DVT na mwangine upo poa haujawahi kusumbua

Naombeni ushauri niende hospitali gani au kwa dokta gani au nikapime nini cha zaidi?

Au ni effect ya DVT nliyopataga?na inaweza ikaisha baada ya muda gani?
 
Ungefanya uende muhimbili uonane na madaktari waliobobea kwenye uchunguzi wa mishipa ya damu na pia ya fahamu (nerves). Huwezi pata ushauri wa kitabibu humu jamvini zaidi ya kuonana na madaktari.
 
Ungefanya uende muhimbili uonane na madaktari waliobobea kwenye uchunguzi wa mishipa ya damu na pia ya fahamu (nerves). Huwezi pata ushauri wa kitabibu humu jamvini zaidi ya kuonana na madaktari.

Nashukuru ila nadhani hujasoma nilichoandika hapo juu!

Soma tena......
 
Back
Top Bottom