Defao aonekana Nairobi akiwa kachoka!

Nlidhai huyo black ndio Defao kakabwa na zombie stejini..kumbe defao..,.mxiuuuuu

Dah lé genarali defao matumona kachooka kwakweli
Hapo ni enzi za salanoki..famile kikuta..bana kongo etc
 
Attachments

  • 1438789860520.jpg
    6.7 KB · Views: 1,201
duu mungu tusaidie ndo nini kua ivyo
 
Dah pole yake lakini sebene zake hazina mkorogo tutaendelea nazo...mchaka mchaka.
 
Me nilijua ameshafariki. God forgive me!
 
Kweli wanaume wengine hawana haya. Yaani Mataka alikuwa anampanda huyo baradhuli. Usijesikia kamfuata huko Nairobi tena. Maana miaka ile ya mwisho wa 1990s Defao alipewa shughuli m[aka akashindwa kupanda stejini akaishia kulazwa TMJ.
 
Kiruuu nimeogopaje nilivofungua thread nkakutana na huyo jmn.... Kama mzimu wa watu wa kale.. . Uzuri wa kichina utaendelea kuwacost wasioridhika na uumbaji wa Mungu
 
Bacongo na mkorogo nomaaaa :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
General Defao haya mambo ya mkorogo alianzaga zamani sana, lakini kwa sauti yupo vizuri. HITACHI

Last edited by a moderator:
Kweli wanaume wengine hawana haya. Yaani Mataka alikuwa anampanda huyo baradhuli. Usijesikia kamfuata huko Nairobi tena. Maana miaka ile ya mwisho wa 1990s Defao alipewa shughuli m[aka akashindwa kupanda stejini akaishia kulazwa TMJ.
Hatimaye Defao amekufa huko Cameroun. Habari zimfikie David Mataka akiwa Mbezi Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…