Nlidhai huyo black ndio Defao kakabwa na zombie stejini..kumbe defao..,.mxiuuuuu
Aloo hata mie nilidhani hivo sasa yaan ansonekana kama jini hivi zombi..kweli mkorogo nouma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlidhai huyo black ndio Defao kakabwa na zombie stejini..kumbe defao..,.mxiuuuuu
Duuuh...sijawahi muona ya zamani...embu wekeni tuone
Hahahaaaaa jamani nacheka leo!
Niliwahi sikia kuwa huyu jamaa ni mchicha pori!
Yaani akili yangu yoote,nlidhani defao kasimama na mwanamke.kumbe huyo mwanamke ndio defao mwenyewe!!!!
Hahahaha Mkuu naskia Defao yupo anapika collabo moja hatar na Mondy platinumz.
Defao alikuwa handsome sana enzi zake
Yaani akili yangu yoote,nlidhani defao kasimama na mwanamke.kumbe huyo mwanamke ndio defao mwenyewe!!!!
Kweli we jambazi,mbona defao maarufu thana a,may be tukuachie we na nyimbo zako za kihindi,kwenye dans umeingia cha kike.?!Ndiyo kwanza namskia leo
Kama alikuwa anatafuta was kumtongoza basi nahisi lengo lake limetimia name jamaa aliejitoa muhanga kwa defao,ndo huyo Yuko nearby..amazing..?!Hakuwa handsome ila alijiremba sana ili atongozwe sana
Nipo huku Masaki na miaka 21 sasa nipo huku! Lakin mchizi simfaham wala nin! we bado upo gongo la mboto kule ndani ndani mkuu?! habar za downtown sijui ulizijulia wapi mkuu