Tumeona hata Patriot,Thaad na ADS nyingine za NATO zimepigika.
Uzuri vita hii inatuonesha Kila kitu,wote tuko hapa tunaona.
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara, je, hao NATO watakapoingia mazima itakuaje?
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu . NATO will declare VICTORY(Ni dhahiri).
Pia Pro Russia mmekuwa na tabia za kutia chumvi sana kuhusu uwezo wa S 400. Kumbe inapigika kirahisi tu hivyo .
Mifumo ya S400 inafanya vizuri TU,lkn kupigwa na drone haiondoi uwezo wake ,kumbuka S400 hazikudizainiwa kutungua drone,lkn je Patriot,Thaad na ADS nyingine za west hazipigiki?
Wala tusiende mbali Kila siku Urusi anapiga Ukraine na hizo ADS za NATO zipo,je huo sio udhaifu wa ADS za NATO?
Kwa hiyo nyinyi silaha ya Urusi ikipigwa ndio mnaiondolea Urusi uwezo wake?
Hata hivyo unaposema kwamba Urusi ikipigana na NATO itashindwa mara moja nakuona wewe na wenzako wenye hoja kama hiyo ni mna uwezo mdogo wa kufikiri .
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri ni pale mnapoipa heshima kubwa Russia kwa kulinganisha nchi moja dhidi ya nchi 59 zote zenye uchumi mkubwa na teknolojia za Hali ya juu kabisa hapa duniani.
Hakuna asiejua nchi za west zina teknolojia ya Hali ya juu kabisa na pia ndio zilizokua zinaongoza kwa uchumi mkubwa kwa miongo kadhaa.
Sasa Leo nchi moja inakabiliana na nchi 39 za NATO pamoja na nchi nyingine za west ambazo sio NATO halafu unatokea mzinza mmoja unaiona Urusi eti ni dhaifu,hivi nyinyi hata hesabu za kichwa hamkusoma?
Mimi nakuambia hivi Leo hii hata kama ikitokea Urusi ikipigana na NATO na all collective west na Urusi ikashindwa Mimi ntaiona imeshinda.
Hata hivi Leo hii Urusi inapopigana na Ukraine ambayo inapewa Kila kitu inachotaka kutoka west bado naiona Urusi kama sio nchi ya kawaida.
Hebu fikiria USA na washirika wake ambao ni NATO na wengineo walipigana na (Al-Qaida na Watalaban TU ambao kwanza ni vikundi TU,havikua na navy,air force wala landforce iloyokamilika,na wala havikua na uchumi mzuri na havikua vinapata misaada kutoka sehemu yoyote ile Kwa miaka 20 na wakawashindwa), je hao USA na NATO tuwaweke kwenye kundi Gani?
Najua hupendi kusikia lakini Urusi peke yake kulinganisha na muungano wa nchi zote za west ambao yumo huyo tunaamini ni superpower wa Dunia USA ni kuipa heshima kubwa sana Urusi.
Hata kama ikishindwa itakua imeshindwa na kundi kubwa la majambazi ya Dunia.