Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara, je, hao NATO watakapoingia mazima itakuaje?
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu . NATO will declare VICTORY(Ni dhahiri).
Pia Pro Russia mmekuwa na tabia za kutia chumvi sana kuhusu uwezo wa S 400. Kumbe inapigika kirahisi tu hivyo .