Defence systems type S 400, S 350 na S 300 zalipuliwa huko Kusck - Russia

Hamna silaha isiyopigika. Kikubwa ni timming tu.
 

Hivi kwani silaha za NATO hazipigwi?
Hujaona maonesho yaliyofanyika huko Moscow ya silaha zilizopigwa za NATO zilizopigwa na zilizotekwa?
Russia inapigika lakini mbona wana endelea kuteka maeneo.
Hata hivyo ni vita Gani ambayo upande mmoja haupigwi?
Au Marekani katika vita vyao hua hawapigiki?
 
Mleta mada kakimbia.
Anyway, hakuna mshindi kwenye vita vya nyuklia na hilo hata West wanalitambua na kwa taarifa yako tu ni kwamba Russia ndo mmiliki wa bomu la nyuklia hatari zaidi Duniani na linalofanyiwa maboresho kila uchwao, kaitafute Tsar Bomba...
 
Ilishapiga wapi watu wakauna ubora wake
 
Wataalam wa Ballistic Missiles wa Mchamba wima, si walisema Ukraine na wenzake wamenywea?
 
Tuseme putin kawa choko wanamtia tu madole kina zele
 
BOmu hatari la kujitangaza..? Usiwe mjinga mtu kama.US hawezi tangaza balaa lake never
 
Halafu ninaamini kinachofanywa na Marekani/NATO ni kutafuta taarifa zaidi kuhusu nguvu na weakness ya Russia kijeshi (Intelligence activities). Hivyo hata hii juzi Russia kupiga kwa kombora jipya TAYARI NI TAARIFA MUHIMU SANA KWA NATO. Ninaamini hata vile west walivyomruhusu Zelensky kupiga ndani ya Russia, kuna kitu walikikusudia na WAMEKIPATA.

Wanaendelea kumchokonoa ili naye azidi kukurupuka wamjue zaidi HALAFU MWISHO NATO AANZISHE MTITI RASMI KUMPONDA JAMAA. NA DUNIA INAWEZA KUSHANGAZWA NAMNA RUSSIA ITAKAVYOPIGWA KWA KUSHITUKIZWA TENA KWA NGUVU KUBWA SANA AMBAPO HATA MUDA WA KURUSHA NUKE ZAKE HAUTAPATIKANA.

MAREKANI/NATO SI AJABU TAYARI WALISHASETI TAGETI ZOTE MUHIMU NDANI YA RUSSIA, NI MUDA MUAFAKA TU UNAOSUBIRIWA.

RUSSIA wa Bunju mtakaojibu hii comment yangu nawashauri msijibu kwa makasiriko maana mna mahasira kuliko hata Putin mwenyewe.
 
Wapi dron pictures za hayo mashambulizi?
 
Punguza kuangalia Hollywood war movies Rambo anapiga kambi mzima peke yake na mjegeje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…