Dege Village Kigamboni wameanza kuuza naona

Ufisadi mwengine tu huu. NSSF Ina hisa 49 na kampuni ya Baghdad zilizi baki.
Lakini ukweli NSSF ndio wanaotoa pesa zote za mradi huo.
Hio 51 ilobaki ni ya wakubwa kugawana....
 
Kuna wachina walikuwa wanauza apartments flan huko huko Kigamboni wakawa wanatoa FREE RIDE kuja mjini sijui wamefikia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…