Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo si kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida... nyumba za mtanzania wa kawaida zinajengwa na wamatumi wenzetu na huwa hatuuziwi bali kupangishwa!$90,000 si pesa ndogo kwa mtz wa kawaida.
mkuu hivi ni kwamba sielewi kingereza au au?Kuna wachina walikuwa wanauza apartments flan huko huko Kigamboni wakawa wanatoa FREE RIDE kuja mjini sijui wamefikia wapi
Alinyimwa gawioHivi ilikuaje kwa waliotoa down payment ya hizi nyumba? Maana naona huu mradi unamkera mzee baba mpaka basi...
Sent using Jamii Forums mobile app