Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Mzee uhasibu na people's life wapi na wapi?Kama uhasibu haupo hapo ni ubatili mtupu
Kwahiyo hawa hawatakwenda VETA?1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
😂Hawa hawaendi VETA mkuuKwahiyo hawa hawatakwenda VETA?
Au VETA inawahusu wote wenye degree?
Agriculture and Veterinary Surgery (BVM)1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
Naona hujaelewa tangazo mkuu, we jiandae tu kurudi VETA ukasome fundi mchundo.😁😁😂Hawa hawaendi VETA mkuu
Hata unavyo funga hesabu zako hapo dukani ni uhasibu sio lazima ufanye IAS requirements make Kuna ambavyo unakuwa huvijuiMzee uhasibu na people's life wapi na wapi?
Wanasimamia uchumi wa Dunia nakubali ila kwenye top 5 hatuwezi kuwaweka mkuuHata unavyo funga hesabu zako hapo dukani ni uhasibu sio lazima ufanye IAS requirements make Kuna ambavyo unakuwa huvijui
😂😂AiseMsisahau na VETA hapo sw.pm majaliwa
KAZI ni kipimo cha utu
Tatizo baada ya kusoma hizo taaluma watu wanaishia kwa waganga ili kuwatatulia matatizo yao.1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
Kuna digrii zitapotea soonKama uhasibu haupo hapo ni ubatili mtupu