Edgar 8900
Member
- Jun 8, 2022
- 24
- 9
KOZI nzuri za education mnisaidieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mmemshauri asome BED PSYCHOLOGY labda naweza kujifunza kitu hapa..Soma bachelor of education in psychology Ila angalia chuo inayotoa iyo program na masomo y kufundishia kama math, history, physics, kemia n.k
Sawa lakini degree program zina varry aiseMwalimu ni mwalimu tu.
Bed psychology ni program ya Elimu Kama zilivyo nyengine tu. Kusoma psychology kutakuongezea fursa zaidi tofauti na degree za elimu nyengine. Hapa unabidi uwe mjanja kidogo, ukiachana kuwa mwalimu wa shule, unaweza fanya kazi sehemu nyingi;-Kwanini mmemshauri asome BED PSYCHOLOGY labda naweza kujifunza kitu hapa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Mwalimu ni mwalimu tu.
Mimi na marafiki zangu tuliograduate kwa kozi hiyo kipindi Magu amebana ajira, kwa kweli imetusaidia sana maana tulijikuta tunapata kazi kwenye Humanitarian organizations naa Hadi Sasa maisha yanaendelea vizuri tu.Kwanini mmemshauri asome BED PSYCHOLOGY labda naweza kujifunza kitu hapa
Siyo kweli, km hauko kwenye hiyo kada ni bora usikoment. Kuna kozi unaichukua ambayo kesho inaweza kukupa daraja la kusomea kitu kingine zaidi ya ualimu kwa kutumia cheti cha kozi yako.Mwalimu ni mwalimu tu.
Unless uwe na connection au uwe na nia ya kujiajiri otherwise jua kuna wenzako wali graduate tokea 2015 na hawana kazi.KOZI nzuri za education mnisaidieni
Ushauri wa kwanza ambao binafsi nakupatia ni kwamba USISOMEE UALIMU KABISA... chumpa kwenye kitu ambacho kinaweza kukutoa kwenye utumwa wa kutegemea kuajiriwa na kilichojaa watu kibao wenye huo ujuzi.... tafuta kitu kitakachokupa upekee pia kitakupa upenyo wa kuwa na ujuzi wa kuweza kujiajiri mwenyewe..KOZI nzuri za education mnisaidieni
Samahani mkuu,Bed psychology ni program ya Elimu Kama zilivyo nyengine tu. Kusoma psychology kutakuongezea fursa zaidi tofauti na degree za elimu nyengine. Hapa unabidi uwe mjanja kidogo, ukiachana kuwa mwalimu wa shule, unaweza fanya kazi sehemu nyingi;-
Kwanza akibahatika kupata GPA kubwa anaweza omba kazi za vyuoni Kama tutor kufundisha iyo psychology kwasababu kozi nyingi zinahitaji kusoma psychology.
Pia unaweza fungua taasisi binafsi ya utoaji ushauri. Hapa unaweza kutoa ushauri kuhusu muelekeo wa soko la ajira, matatizo ya kindoa, kusolve matatizo mbalimbali ya kisaikolojia kwa watu n.k.
Wardens wa hostels Mara nyingi huwa ni watu waliosoma psychology.