wana JF naomba msaada wenu mimi ni mtumishi wa serikali na nina familia inayonitegemea,ila na hitaji kujiendeza kwa njia ya posta namba msaada kwa anayefahamu chuo anisaidie,ninakofanyia kazi ni kijijini natumia saa 6 hadi kufika makao makuu wa wilaya.
Kaka, una computer na unaweza kupata mtandao angalau kwa masaa 2 kwa siku? Ikiwa utakuwa na hivi nilivyovitaja, unaweza kusoma "online"kupitia mtandao.Sina hakika kama kuna chuo kinatoa degree kwa njia ya posta.Stay tuned, hope Vingunge watakuja na muongozo mzuri zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.