Degree kwa njia ya Posta.

Degree kwa njia ya Posta.

Bweri

Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
78
Reaction score
15
wana JF naomba msaada wenu mimi ni mtumishi wa serikali na nina familia inayonitegemea,ila na hitaji kujiendeza kwa njia ya posta namba msaada kwa anayefahamu chuo anisaidie,ninakofanyia kazi ni kijijini natumia saa 6 hadi kufika makao makuu wa wilaya.
 
Kaka, una computer na unaweza kupata mtandao angalau kwa masaa 2 kwa siku? Ikiwa utakuwa na hivi nilivyovitaja, unaweza kusoma "online"kupitia mtandao.Sina hakika kama kuna chuo kinatoa degree kwa njia ya posta.Stay tuned, hope Vingunge watakuja na muongozo mzuri zaidi.
 
ahsante kwa ushauri itabidi nitafute na gharama zake ni kiasi gani,au unisaidie contact zao nataka kuchukua public adm kwa sasa nina diploma@bourgeois
 
Back
Top Bottom