Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nch zetu hz tu. Kwamba eng au doctor atashika spanner wakati hr anaongoza
ila kwa nch za watu wataalam wanaofanya vitu vinavyoonekana kwa macho bado ni majembe. Hr na mengine yana umuhim sawa lakini ukipima mizania never nasema never haiwez kuwa sawa na kozi kama utabib, uhandisi
wewe ndo mbulula unayesoma socilogy
nashidwa kushindana na wewe, kwamaana kupitia huu uzi wako nimegundua una uwezo mdogo mno wa kufikiri, yaaani labda chini ya megabyte 5. Kwa taarifa yako nimesoma bsc. Computer science, msc. Finance $ investment na mba plus cpa (t).
Jifunze kuheshimu taaluma za wenzako, au we ndo wale wa 60s% wa mwaka huu?
absolutely umeonyesha intellectual immaturity yako. dunia hii ina division of labour since then! kweli hajitambui huyo!! asamehewe na kuelekezwa kwa upole!! maisha si kozi ulosoma,ni utafutaji wako tuu!
Mdogo wangu ukikuwa utakuja kugundua haukutumia werevu kabisa tangu kuanzisha hii Thread na wala unavyochangia.
Mtoa mada yaonyesha ni mwanafunzi bado. Sera za kishule zinaonyesha hivyo hujakosea. Isipokua unapaswa kujua hakuna professional inayoweza kujiendesha yenyewe. Mfano mimi ni Mhandisi Civil Engineer (Structural Engineer and Geotechnical Engineer) lakini siwezi kuendesha shughuli za kiahandisi bila managerial skills. Utakuwa mzuri kwenye technical aspects lakini hutaweza kuongoza watu. Mfano mwingine,kama utaweza kufikia Senior position ni lazima uwe na uelewa wa human resource na hawa ndiyo wanaoangalia maadili ya wafanyakazi kwenye maeneo ya kazi. Naeleza haya kwa kuwa nimeyasoma na ninaelewa. Pamoja na human resource na management nyingine na uhandisi ama udaktari ndio unafanya shirika ama kampuni kukua. kampuni nyingi za hapa kwetu hasa za wataalamu (technologia ulizotaja) hazina watu wa Human resource,hivyo ukuaji wake unakua hafifu sana maana hawajui principles of employment/motivation/leadership nk ambazo ndizo key for company growth. Baada ya kusema hayo sina shaka utajirudisha nyuma na kutafakari maelezo yako
hivi hii dunia wa maana na wanafanya maajabu katika maisha ni hawa mliowataja tu? Yaaani waliosoma engendering, law na medicine? Ucheni umbululu kozi zote duniani zina mchango mkubwa katika kuiendeleza dunia na kuifanya hii dunia kuwa kama ilivyo. Mliishawahi kufikiri umuhimu wa kozi za biashara hapa duniani especially hiyo hr uliyoipondo we mleta maada? Ualimu ndo baba yao! Bila kozi za ualimu we mwenyewe usingejua kutoa mapovu kama ulivyofanya kwenye huo uzi wako?
Kuna vitu vya kujadili kwa maslahi ya taifa letu lakini siyo huu umbululu iliouleta hapa jamvini.
Grow up ndugu yangu, usiwe kama mbuyuwani.
absolutely umeonyesha intellectual immaturity yako. dunia hii ina division of labour since then. hii maana yake ni kwamba engineer atakuwa spanner boy whereas doctor ataendelea kufungua miili ya binadamu wakati watu waliosoma HR watasimamia utumishi ili shughuli ziende vizuri unasikitisha kwa kudhani wewe ni bora kuliko wengine wakati ukweli ni kwamba shahada nyingi za engineering zinaishia kwenye ukarani wa benki. siku hizi utakuta waliosoma sheria ni relationship officers kwenye mabenki na mengi mengineyo. ubora wa shahada hizo uko huko huko vyuoni tu. ukifika huku mtaani unakuwa wa kawaida sana tena unaweza kuwa wachini kuliko ulivyotarajia. mafanikio katika maisha hayatokani na kusoma degree ya aina gani bali no namna ulivyochanga karata zako na Mungu kakujaalia riziki yake. Ndio maana pamoja na degree za nguvu bado wanasheria, wahandisi, hata madaktari wapo chini ya mabosi waliosoma degree za kishenzi na wanatii amri zao. hivyo kama uko chuoni sasa ujue kuwa shahada haimaanishi kitu chochote katika mafanikio ya kimaisha. jitambue usidharau taaluma za wengine. inawezekana hata baba yako ana degree za kishenzi aug hana kabisa