Degree tatu huwa zinakuwaje?

Degree tatu huwa zinakuwaje?

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu?

Nasubiri
 
1. Bachelor Degree (3 to 5 years)
2. Masters Degree (1 to 3 years)
3. PhD (Philosophy Doctor) (3 to 5 years)

Zipo kwa mpangilio huo. Mara nyingi mtu akisema ana Degree 3 huwa anamaanisha amefika PhD
asante mkuu nimeelewa
 
1. Bachelor Degree (3 to 5 years)
2. Masters Degree (1 to 3 years)
3. PhD (Philosophy Doctor) (3 to 5 years)

Zipo kwa mpangilio huo. Mara nyingi mtu akisema ana Degree 3 huwa anamaanisha amefika PhD
Sawa kabisa..
Ila nakujazia nyama hapo kwenye PhD
PhD ni degree ya tatu
Ila mtu anaweza akawa na degree hata 5 ila akawa hana PhD.
Maana yake anakuwa amefanya Bachelor na Masters tofauti tofauti.
Ila kwa sababu wengi wanaenda kwenye mpangilio kwa hyo wengi wenye degree 3 huwa wanakuwa na PhD
 
asante sana.
 
Back
Top Bottom