Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
asante mkuu nimeelewa1. Bachelor Degree (3 to 5 years)
2. Masters Degree (1 to 3 years)
3. PhD (Philosophy Doctor) (3 to 5 years)
Zipo kwa mpangilio huo. Mara nyingi mtu akisema ana Degree 3 huwa anamaanisha amefika PhD
Sawa kabisa..1. Bachelor Degree (3 to 5 years)
2. Masters Degree (1 to 3 years)
3. PhD (Philosophy Doctor) (3 to 5 years)
Zipo kwa mpangilio huo. Mara nyingi mtu akisema ana Degree 3 huwa anamaanisha amefika PhD
asante sana.Sawa kabisa..
Ila nakujazia nyama hapo kwenye PhD
PhD ni degree ya tatu
Ila mtu anaweza akawa na degree hata 5 ila akawa hana PhD.
Maana yake anakuwa amefanya Bachelor na Masters tofauti tofauti.
Ila kwa sababu wengi wanaenda kwenye mpangilio kwa hyo wengi wenye degree 3 huwa wanakuwa na PhD