Degree ya Chemicals au Biochemistry from Diploma ya ICT

calvin judica

New Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari za saa hizi ndugu zangu?samahanini naomba kuuliza kwa anayefahamu.

MIMI nimemaliza DIPLOMA ya ict katika chuo flani ivi cha serikali na kufaulu kwa G.P.A ya 4.0. wakati niko kidato cha sita nilisoma PCB na kupata division 3 ya point 15 lakini nikakosa credit moja ,Hivyo ikanilazimu kusoma diploma.

sasa nimemaliza lakini nataka nibadilishe fani nisome bachelor of science in chemistry au biotechnology au degree ya laboratory ,je inawezekana?jke nikiomba mkopo nitapata?NATHAMINOI SANA MCHANGO WENU ,,,,,
 
sidhani kama inawezekana labda uanzie diploma tena .ila kwanini hata usingesoma diploma ya laboratory technology
 
Habari za saa hizi ndugu zangu?samahanini naomba kuuliza kwa anayefahamu.

MIMI nimemaliza DIPLOMA ya ict katika chuo flani ivi cha serikali na kufaulu kwa G.P.A ya 4.0. wakati niko kidato cha sita nilisoma PCB na kupata division 3 ya point 15 lakini nikakosa credit moja ,Hivyo ikanilazimu kusoma diploma.

sasa nimemaliza lakini nataka nibadilishe fani nisome bachelor of science in chemistry au biotechnology au degree ya laboratory ,je inawezekana?jke nikiomba mkopo nitapata?NATHAMINOI SANA MCHANGO WENU ,,,,,
Ngoja wajuzi waje
 
Back
Top Bottom