Degree ya computer science

Degree ya computer science

Zinnob5

Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
30
Reaction score
2
Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
 
Inawezekana bila shida cha msingi uwe na diploma nzuri ili ukubaliwe kusoma degree.
 
Back
Top Bottom