degree ya human nutrition

degree ya human nutrition

Mimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka

bebii nimekumic..
 
Mimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka
mwanzoni ilikuwa ni Bsc in home economics and human nutrition,sasa hivi wamezitenganisha..naomba unambie unachojua kuhusu hiyo kozi kwa sababu pia ni moja kati ya dreams zangu
 
jamani ndugu zangu mimi nauliza kama hiyo kozi ya human nutrition pale SUA kama ina soko? Mana nataka niichange

jamani ajira zilizotoka nutrionist zipo? Help me
 
Back
Top Bottom