Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wako ni upi kwa mtu mwenye lengo la kujisomea hukoChuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Acha porojo kijana nimekutana na wahitimu wa hapo OUT wapo vizuri sanaChuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
chuo kikuu cha dar es salaam 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Ni sawa mkuu, haina tofauti na vyuo vingine suala la uelewa/uchambuzi wa mambo ni ya mtu binafsi.Wadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira
Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na kihitimu?
Karibuni nimshauri mtu hapa
hasa jamaa fulani waliosoma chuo fulani kikongwe hapa mjini....Watu wanaodharau open university huwa nashindwa kuwaelewa kbs
Jiwe gizani.hasa jamaa fulani waliosoma chuo fulani kikongwe hapa mjini....
maneno mengiii mitandaoni huku mtaani njaa kali tu wamebak kujiita magreat thinker [emoji23][emoji23]
Imesimama kuliko ya incampusWadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira
Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na kihitimu?
Karibuni nimshauri mtu hapa
Chuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Hahaha umewagusa wanakuja. Wanajifanyaga wana akili sana lakin kitaa hawana lolote.hasa jamaa fulani waliosoma chuo fulani kikongwe hapa mjini....
maneno mengiii mitandaoni huku mtaani njaa kali tu wamebak kujiita magreat thinker [emoji23][emoji23]
wajinga wajinga fulani tu hivi.... wanakimbizwa tokea kitaa hadi maofisini ila sasa kwenye kujitamba ndio wanaongozaHahaha umewagusa wanakuja. Wanajifanyaga wana akili sana lakin kitaa hawana lolote.