Degree ya open university Tanzania ina quality?

Kiukwel mi ndio nimehtmu elimu yangu ya bachelor mwaka huu
Na nnesoma miaka 3#
Ila naona kama unataka kusoma open University uwe na uwezo binafsi

La 2# naona inafaa zaidi watumishi

Na ni lahisi mtu kusoma vzr kama tyari uko na certificate au diploma ya ktu ambacho unakiendeleza
.
Nahis ukiw fresh from school itakugharmu mfumo wake n mgumu

Cheti chake kina uzito katk sekta za ajira kama vyuo vngne

.ila huku 95% ni watumishi tunajiendeleza
.

Kila ra heri
Karbu sana out
Kwa mengi njoo dm
 
Asante nitakuja mkuu na hongera
 
Asante nitakuja mkuu na hongera
Tuko pamoja
Karbu maafaili ya chuo huria 29November kibaha
IMG-20181112-WA0022.jpeg
 
Mimi nimesoma OUT.malengo yangu yalitimia na nimekuwa nikishare midahalo na wana Universe wenzangu kutoka university zingine kwa ukamilifu elimu ni ileile tu ila majina ndoo tofauti.wanaojua maana ya elimu hawana shida.
 
mmi nimesoma OUT faida niliyopata ni kuongeza taaluma na kupanda daraja kama wenzangu waliosoma vyuo vingine.kitaaluma tupo vizuri.tofauti ya majina ya vyuo siyo kigezo LA muhimu unayo sifa ya kuwa na hazina ya elimu hiyo.kama huna utaishia kujitapata na jina LA chuo kumbe mweupeee
 
Chuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Kwahiyo nje ya UDSM vyuo vingine ni vyuo huria?
 
Chuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Endelea hivyo hivyo, na unaongoza na wengi walipita hapo
 
Chuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam

Kama wewe ni mhitimu wa UD basi bado una mawazo ya kishamba sana wakati Tutors na Lecturers wenu wanasoma kwa bidii masters zao na PhD za Open huku wakiendeleza maisha mengine!!

Tafiti na ujiridhishe na chanzo cha hiki chuo, wala si mbali ni mwaka 1992 japa mawazo yalitolewa na Nyerere miaka 20 before!!

Unajua kuhusu Open and Distance Learning (ODL), mfumo wa elimu masafa?? Kama wewe msomi nenda katafiti hilo na hiyo ndiyo njia inayotumiwa kutoa elimu kwa Open kama hujui!!
 
Tatizo la hawa wenzetu waliohamia na mabegi na kupiga kambi kwenye mabweni huku madem zao wakihonga mizigo ili wasipate sapu na wanapokuja huku uraiani wako hovyo kabisa.Mimi nimesoma Open na kipindi nipo field nilikutana idara moja na jamaa zangu waliosoma Mliman na Mzumbe aisee hawa jamaa wako very shallow practically,yaani so sad kwakweli
😀😀
 
Kiukwel mi ndio nimehtmu elimu yangu ya bachelor mwaka huu
Na nnesoma miaka 3#
Ila naona kama unataka kusoma open University uwe na uwezo binafsi

La 2# naona inafaa zaidi watumishi

Na ni lahisi mtu kusoma vzr kama tyari uko na certificate au diploma ya ktu ambacho unakiendeleza
.
Nahis ukiw fresh from school itakugharmu mfumo wake n mgumu

Cheti chake kina uzito katk sekta za ajira kama vyuo vngne

.ila huku 95% ni watumishi tunajiendeleza
.

Kila ra heri
Karbu sana out
Kwa mengi njoo dm
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom