Degree ya open university Tanzania ina quality?

Kiukwel mi ndio nimehtmu elimu yangu ya bachelor mwaka huu
Na nnesoma miaka 3#
Ila naona kama unataka kusoma open University uwe na uwezo binafsi

La 2# naona inafaa zaidi watumishi

Na ni lahisi mtu kusoma vzr kama tyari uko na certificate au diploma ya ktu ambacho unakiendeleza
.
Nahis ukiw fresh from school itakugharmu mfumo wake n mgumu

Cheti chake kina uzito katk sekta za ajira kama vyuo vngne

.ila huku 95% ni watumishi tunajiendeleza
.

Kila ra heri
Karbu sana out
Kwa mengi njoo dm
 
Asante nitakuja mkuu na hongera
 
Mimi nimesoma OUT.malengo yangu yalitimia na nimekuwa nikishare midahalo na wana Universe wenzangu kutoka university zingine kwa ukamilifu elimu ni ileile tu ila majina ndoo tofauti.wanaojua maana ya elimu hawana shida.
 
mmi nimesoma OUT faida niliyopata ni kuongeza taaluma na kupanda daraja kama wenzangu waliosoma vyuo vingine.kitaaluma tupo vizuri.tofauti ya majina ya vyuo siyo kigezo LA muhimu unayo sifa ya kuwa na hazina ya elimu hiyo.kama huna utaishia kujitapata na jina LA chuo kumbe mweupeee
 
Kwahiyo nje ya UDSM vyuo vingine ni vyuo huria?
 
Endelea hivyo hivyo, na unaongoza na wengi walipita hapo
 
Kama wewe ni mhitimu wa UD basi bado una mawazo ya kishamba sana wakati Tutors na Lecturers wenu wanasoma kwa bidii masters zao na PhD za Open huku wakiendeleza maisha mengine!!

Tafiti na ujiridhishe na chanzo cha hiki chuo, wala si mbali ni mwaka 1992 japa mawazo yalitolewa na Nyerere miaka 20 before!!

Unajua kuhusu Open and Distance Learning (ODL), mfumo wa elimu masafa?? Kama wewe msomi nenda katafiti hilo na hiyo ndiyo njia inayotumiwa kutoa elimu kwa Open kama hujui!!
 
😀😀
 
Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…