Degree ya SUA pesa yako tu

Degree ya SUA pesa yako tu

probation ndio nini???
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?
 
Acha ujinga, hivi kweli inaingia akilini msomi atangaze dau la Rushwa?.

Mimi nimesoma SUA, naifahamu jamii ya watu wa pale, wanafunzi wengi ni wa kawaida sana kiuchumi, hata wakiambiwa laki mbili, inakuwa tabu!

Anyway! Ila ninachojua ni ndivyo ilivyo mwalimu anaweza kukusaidia kwenye course work tu, kwakuwa haina external examiner! Ila UE mwalimu hana mamlaka nayo kihivyo.

Unajua mshahara wa mwl wa chuo? Ila aweze kurisk kazi yake kwa ki millioni kimoja? Acha upuuzi, acha kupoteza muda kwa kuwachafua waalimu wako.
ayo mambo yapo vyuoni usikatae kama halija kukuta yaliwakuta wenzako waulize ndugu zako wa muccobs si tawi la sua ilo watakwambia vizuri tena iyo muccobs ambalo ndio tawi la sua mwalimu alikutwa na kashfa ya kutengenezea watu vyeti adi mm naondoka moshi kesi ilikua mahakamani.
 
Hizi digrii za Tz zimekuwa kama umalaya anayehonga na anayehongwa wote wanakubaliana kufanya kwa siri halafu baadae wakimaliza digrii zao wanaingia mtaani kutukana watu kwa majina kv vilaza na kadhalika kuhujumu wanyonge mara tu wapatapo dhamana za uongozi serikalini.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?

unaongelea CHUO CHA SUA au unamwongelea lecturer,tumia akili ndugu.
 
Tumia akili ndugu yangu watu mnaangaika kusoma pamoja na kulipa ada na michango mbalimbali,alafu kunawatu wanapewa vyeti kirahisi ivi apo baadae utamconvince vipi mtu atofautishe cheti chako uliyetaabika na chuo na uyo aliyenunua simtaonekana wote walewale, apo lawama zote zitakiangukia chuo.
 
lecturers+wanafunzi+majengo(facilities)=SUA so hapo hakuna mjadala,

Kweli kabisa wanafunzi na walimu ndio mnaunda chuo ndio maana mkikataa kuingia darasani chuo kitafuungwa na walimu pia ni ivyo, so kama lectures wakiwa hawafai ni sahihi kusema chuo hakifai.
 
Ivi leo ni chuo gan ambacho lecturers hawaombi na kula viuno vya dada ze2 kisha kuwapa maksi?je hii sio rushwa,je suala hili lipo sua tu?,lecturer mmoja au wawil wakiomba rushwa kwa matakwa yao binafsi,je chuo kizima wala rushwa?!.Tuache ushabiki na 2jenge hoja.
 
Tumia akili ndugu yangu watu mnaangaika kusoma pamoja na kulipa ada na michango mbalimbali,alafu kunawatu wanapewa vyeti kirahisi ivi apo baadae utamconvince vipi mtu atofautishe cheti chako uliyetaabika na chuo na uyo aliyenunua simtaonekana wote walewale, apo lawama zote zitakiangukia chuo.
Mkuu huyo mtoa mada hajui asemalo, au ameshindwa kuiweka vizuri mada yake, maana ili upate degree unatakiwa usome kozi nyingi na ufauli, kama lecturers wote wanataka rushwa unadhani hiyo laki itatosha?
 
Ndo maana hata top 1 00 ya vyuo vikuu bora africa hampo kwa sababu ya ubabaishaji huo,karibu sana dogo chuo bora-udsm
 
Mh! hivi na huyu ni great thinker? mbona anashindwa hata kuandika vitu vinavyoeleweka? tililika mkuu ka una ushahidi wa kutosha usije jidhalilisha bure mdogo angu. sema ka ni pede then mi ntakusaidia hapa kumwaga data!
 
Ndo maana hata top 1 00 ya vyuo vikuu bora africa hampo kwa sababu ya ubabaishaji huo,karibu sana dogo chuo bora-udsm

KHAA..UNAzungumzia UDSM tena? si ndo huo uozo ulipoanzia? tena kwa upande wa rushwa ya kugegedwa wale wadada huwa wanajipeleka wenyewe,imekuwa ni kama "fashion" hivi.hapafai hata kidogo hapo usimdanganye mwenzio,bila shaka we ni mgeni maeneo hayo wakongwe tunapafahamu vizuri sana hapo wala hapatupi shida.
 
Mhusika wa thread big up sana sasa mnaochangia msimjie juu. Aya mambo yapo vyuo vingi tu na mimi pia nashuhudia kwenye chuo nachosoma tena mwalim kabla hata hajaanza kufanya marking ya UE anapanga kabsa ni wangap anakamata kujua bei atakayopata n a student asipotoa hicho kiasi either una repeat module au unalibeba inalingana na mwaka gan uliopo so msimkashifu tu mhusika wa mada seems nyie mko comfortable na aya mambo eeh..i dont really understand where our TAnzanian Education is heading to.
 
KHAA..UNAzungumzia UDSM tena? si ndo huo uozo ulipoanzia? tena kwa upande wa rushwa ya kugegedwa wale wadada huwa wanajipeleka wenyewe,imekuwa ni kama "fashion" hivi.hapafai hata kidogo hapo usimdanganye mwenzio,bila shaka we ni mgeni maeneo hayo wakongwe tunapafahamu vizuri sana hapo wala hapatupi shida.
ww inawezekana umesoma TEKU,pole sana,karibu sana dogo UDSM upige kitabu bila wasiwasi
 
Fuatilia yako jombaa! Kama wao ni feki utakutana nao kwenye ajira ndipo kitasomeka kt ya ww na wao na bongo lala!
 
ww inawezekana umesoma TEKU,pole sana,karibu sana dogo UDSM upige kitabu bila wasiwasi

KUMBUKA KUWA HATA TEKU nacho ni chuo.na bila shaka wewe hapo chuo unasoma BA.EDUCATION IN EARLYCHILDHOOD.naona hukutan na misukosuko na umeridhika kabisa maana waalimu kwa kuridhika hamjambo.pole kwako dogo na karibu kwenye soko la ajira ukimaliza chuo japo bado una safari ndefu kwan ndo kwanza unaingia mwaka wa pili by the way,issue sio kusoma UDSM,issue ni kozi unayosoma.tehe..tehe..tehe.
 
Suala la rushwa za aina zote kuwepo vyuo vikuu ni jambo lisilopingika kwa sasa hv. Kiujumla si vijana tu ambao wamehusishwa na suala hili. Kuna lecturers wazoefu na wenye heshima kubwa ambao wamekumbwa na kashfa hz ambazo nyingi vyuo husika wanazimaliza 'juu kwa juu' ili kulinda reputation ya vyuo husika. Mtoa mada sidhani kama ni mtu ambaye amesoma au anasoma chuo kikuu chochote duniani kutokana na maneno aliyotumia. Poleni watoto wetu na Mungu awalinde mkiwa vyuoni.
 
KUMBUKA KUWA HATA TEKU nacho ni chuo.na bila shaka wewe hapo chuo unasoma BA.EDUCATION IN EARLYCHILDHOOD.naona hukutan na misukosuko na umeridhika kabisa maana waalimu kwa kuridhika hamjambo.pole kwako dogo na karibu kwenye soko la ajira ukimaliza chuo japo bado una safari ndefu kwan ndo kwanza unaingia mwaka wa pili by the way,issue sio kusoma UDSM,issue ni kozi unayosoma.tehe..tehe..tehe.
kwahyo umeona mm ni nmesoma masomo yako ya arts,boya tu cwez soma kozi hyo unayosoma ww,mm ni mwanasayansi tena PCB,achana mm dogo
 
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?

mleta mada utakwa una matatizo binafsi sio bure either uli disco chuo sasa umeanza majungu maana hata unaodai walitoa hizo hela wana timamu y hawakukataa au kuriport takukuru??
 
Back
Top Bottom