MICHAEL BENJAMIN
Member
- Sep 24, 2024
- 11
- 17
Ni zuri kama ameipendaKama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake
Kwani wingi wa graduates ndo unafanya MTU aajiriwe?Ni zuri kama ameipenda
Lakini swala la AJIRA baada ya kumaliza sio rahisi kupata kwa fani nyingi maan graduate ni wengi kwahiyo mjipange mapema akimaliza asije kulia uku mtaani
Waambieni madogo wasome courses ambazo ni highly or to be highly demandedKama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake
Sema watanzania ni wakuchapa makofi , kwa dunia ya sasa wangekimbilia kozi za IT kwa sana ...Kutwa online zinatangwa .Waambieni madogo wasome courses ambazo ni highly or to be highly demanded
1.Data science
2.Renewable energy
3.Mental health
.........
Hizo course za accounting tumezisoma kaka zao na tupo benchi bado tena mna washauri madogo wapige,hapana jamani!